Monday, October 13, 2014

MR.MATHIAS MAVANZA MHAZINI WA TANZANIA ADVENTIST MEDIA CENTER SIKU YA SABATO YA TAREHE 11 OCTOBA,2014 KANISANI MWENGE SDA AMEELEZA HATUA NA MCHAKATO WA UFANIKISHAJI WA KURUSHWA KWA MATANGAZO YA MSTV NA AKITO MSISITO KWA WAJUMBE KUCHUKUA KADI MAALUM ZA KUCHANGIA KWA MPANGO AMBAPO MDAU HUYU ATAPA TAARIFA NA HABARI TOKA MSTV NA ATAKUWA AMESAIDIA UINJILISTI KUFIKIA WATU WENGI KWA NJIA YA RUNINGA HII.(PICHA NA INJILILEO BLOG)
Tangu kuanza kwa mradi mzima wa runinga ya Morning Star Televisheni ambayo ilikuwa ametengewa kiasi cha milioni 500 gharama ambayo ingejumuisha yafuatayo;-
>Matengenezo ya Studio ya televisheni
>Ununuzi wa vifaa na mitambo
>Malipo ya lesseni ya kurushia matangazo kutoka kwa mamlaka ya serikali
>Uendeshaji wa televisheni kwa miezi 6,hii ni pamoja na kulipia gharama ya kurusha matangazo kupitia kwa wenye ving'amuzi
Kati ya hizi milioni 500 zilizotegemewa kukusanywa kutoka kwa washiriki kwa ajili ya mradi huu,hadi sasa kiasi cha sh 287,350,000 zimepokelewa na mstv ambazo zimetumika kufanya yafuatayo;-


  • Kununua vifaa vinavyohitajika kwa ajili ya kurekodi vipindi na kurusha matangazo hewani ambavyo ni vya kisasa tena vinavyokwenda na wakati.
  • Kutengeza studio ya kisasa ambayo itatumika kwa ajili ya kutayarishia vipindi mbalimbali
Baada ya kupata vifaa na kupata studio,matangazo ni lazima yarushwe hewani,na yafuatayo ni mahitaji kwa ajili ya kurushwa matangazo kwa miezi mingine 6

  1. Btl(urushwaji wa matangazo)
  2. AGAPE FEES(urushaji wa matangazo)
  3. TCRA FEES(malipo kwa serikali)
  4. Agape deposit(kama dhamana ya mkataba)
  5. live cov.equip(vifaa vya matangazo live)
  6. production van(gari kwa ajili ya uzalishaji)


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA