Monday, October 13, 2014

HABARI NA MTANGAZAJI BLOG
Ambassadors of Christ kwaya ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato Oktoba 11,2014 walifanya tamasha katika kanisa la Waadventista Wa Sabato la  Kigali English Church wakishirikiana na Friends Of Jesus,Patmos Choir na Elevate,Tamasha hilo lilikuwa ni kwa ajili ya kuzindua wa DVD  mpya ya Ambassadors of Christ iitwayo Ibatebuli
PICHA NA MTANGAZAJI BLOG
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA