Thursday, October 02, 2014









Shule za bweni katika kaskazini India zimekumbwa na mafuriko na kuuwa mwalimu moja na kuwalazika kufungwa kwa shule hiyo takribani miezi miwili Shule hiyo ilikua na wanafunzi 900 ambao ni wanafunzi msingi na sekondari

Baada ya mvua kubwa iliyonyesha nzito bila kutarajia Maji ya mafuriko yaliweza ingia katika shule ya Wasabato hiyo  nakusababishwa benki ya jirani kufungwa.

"Uharibifu ulikuwa mkubwa mno kiasi kwamba ni vigumu kukadiria hasara," alisema Lionel F. Lyngdoh, rais wa kanisa ya Kaskazini India Union, ambayo inamiliki  shule hiyo.

Maji yaliweza ingia "Jikoni, ukumbini na majengo yote, alisema kwa barua pepe baada ya kutembelea tovuti. "Sasa mafuriko yalikuwa mkubwa sana hasa sehemu za kupikia vyombo, vyakula, madawati, na viti kutoka dining hall viliweza chukuliwa na maji. Hata mlango wa chuma ilikuwa kutupwa nje na maji" 
Alisema hasara ni kubwa, hata hivyo, wanafunzi na wafanyakazi, wamepata mshtuko juu ya mafuriko hayo  na kifo cha mwalimu wao, alielezea Phukan kama shujaa ambaye alikuwa katika tukio siku hiyo

Watu wengi walipoteza mali zao zote, na hata baadhi waliweza kujiokoa wenyewe katika mafuriko hayo . Mafuriko ni tukio la kila mwaka wakati wa Monsoon msimu katika kaskazini India, ambayo anaona baadhi ya mvua nzito katika dunia. Lakini mafuriko ya aina hii yaliotokea  wiki iliyopita ni nadra mmoja wa shuhuda alisema hivyoi. 





TP Kurian, mkurugenzi Idara ya  mawasiliano kwa kanisa hilo la Kusini mwa Asia, ambayo inasimamia Northeast India Muungano, Alisema"Kwa sasa, wanafunzi  wamefunga shule na wako nyumbani. Na inaweza kuchukua muda wa mwezi moja au miezi miwili kufunguliwa kwa shule , "
Shule yawasabato  Riverside Academy ilifunguliwa mwaka 2007 kwa lengo la kutoa elimu ya nafuu kwa wakazi wa mitaa. Northeast India pia ilikua kama kama taasisi kutoa elimu bure kwa watoto yatima waki sabato na wanafunzi maskini,Pia bado haijafahamika ni kiasi gani cha gharama katika kuikarabati upya shule hii., 




****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA