|
Hawamu ya kwanza ya ujenzi wa jengo la utawala katika shule ya Adventist Alpha unaendelea, Askofu mkuu wa W.T.C Pr Benard Mambwe, pamoja na Muhazin Wa W.T.C Padon Pardon Kikiwa
wakiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo, endelea kutoa mchango wako
wa hali na mali ili kufanikisha maendeleo ya shule hi, lakini pia mlete
mtoto wako kwa elimu bora. |
|
PICHANI KAZI IKIENDELEA YA UWEKAJI MAWE NA MSINGI MOJA YA JITIHADA ZA DHATI KATIKA KUFANISHA JAMBO HILI.. |
|
PICHANI KAZI IKIENDELEA YA UWEKAJI MAWE NA MSINGI MOJA YA JITIHADA ZA DHATI KATIKA KUFANISHA JAMBO HILI.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment