Umoja wa wanavyuo vikuu na kati(TUCASA) kwa kanda ya kusini na hapa wakiwa vyuo 7,wamekusanyika kwa pamoja katika ibada ya pamoja navyo ni TIA,St.Mary University,SAUT Mtwara,Chuo cha Utumishi wa Umma,Chuo cha kilimo Naliendele,Chuo cha Ufundi Mtwara na vyuo vitatu vya ualimu yaani;-Tandahimba,Newala na Mtwara mjini.
Ibada ya jumuiko hili ilifanyika katika kanisa la Waadventista Wasabato Masasi,ikihudumiwa na Morisi Gati(Mhubari) ambaye ndiye mwenyekiti wa TUCASA kanda,na kwa siku hii kulikuwa na jumla ya wanachuo 120 waliohudumu katika ibada hii.
Lengo la ibada hii ni kufahamiana kwa viongozi na wanachama kwa ujumla wake pia kuwainua washiriki wa Masasi.

WABATIZWA KATIKA KIJJI CHA IMEKUA MAENEO YA MTWARA VIJINI WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA. |
HAWA NDIO VIONGOZI WA KANDA HII YA KUSINI MWA TANZANIA WAKITAMBULISHWA |
0 comments:
Post a Comment