Mheshimiwa diwani wa kata ya Mpinji (katikati mwenye miwani) akishirikiana na wachungaji katika kuhamasisha ujenzi wa nyumba hiyo |
Hii ni moja ya sehemu ya washiriki wakisikiliza ujumbe kabla ya changizo
|
Nyumba ya Mchungaji wa mtaa wa Mpinji-Same |
Mmoja wa wageni waalikwa akitoa sadaka yake kwa Ujenzi wa nyumba |
Milima hiyo ya Upare imejaa matunda kwa wingi, hapa wachungaji wakikabidhiwa sinia la matunda kama appertizer kabla ya mlo wa mchana. |
Mmoja wa washiriki akimtolea Mungu sadaka ya ujenzi huku akipongezwa na Mchungaji Simon Mollel |
Mchungaji Mazemule akitoa neno kabla ya Changizo |
Nyumba ya mchungaji upande wa mbele |
Katibu wa mtaa akisoma taarifa fupi ya ujenzi wa nyumba hiyo |
Hii ni kwaya ya SDA Sambweni wakimtukuza Mungu |
Hili ni tanuru la matofali na msingi wa nyumba ya mchungaji wa mtaa Bwambo |
Hawa ni washiriki wa mtaa jirani (Bwambo) wakianza ujenzi wa nyumba ya mchungaji wao. picha hii ni mapema mwezi wa sita. PICHA NA Musa NzumbiJr |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment