Saturday, November 01, 2014

Dokta wa vyakula na lishe toka kituo cha Beli Foundation,Dr.Herperance Odhiambo ni mmoja wa wanatimu walio katika kuhimiza wakazi wa Mbeya na maeneo yake kwa ujumla juu ya kupenda kutumia vizuri vyakula tulivyopewa na Mungu kwani kwa kufanya hivyo tunalitunza lile neno la "ninyi ni hekalu la MUNGU"
PICHA NA Mwinjilisti Eliezer Mwangosi
Kulia ni Dr.Herperance Odhiambo akiwa na Mwinjilisti Eliezer Mwangosi wakiwa katika viwanja vya mkutano.

 





****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA