Kwaya ya Mbiu kutoka Dar es Salaam wakiwa na Mwinjilisti Eliezer
Mwangosi pamoja Dr. Hesperance Odhiambo wakitoa ujumbe wa Injili ya
Milele katika Jiji la Mbeya. Tukumbukeni kwa Maombi ili Bwana mwenyewe
aimalize Kazi.
PICHA NA Mwinjilisti Eliezer
Mwangosi.
 |
| WAIMBAJI WA KWAYA YA MBIU WAKIWA KWENYE MOJA KATI YA HUDUMA MKOANI MBEYA. |
 |
| WASHIRIKI WAKIWA KATIKA KUSIKILIZA MAHALA PA MKUTANO VIWANJA VYA CCM JIJINI MBEYA. |
 |
| WASHIRIKI WAKIWA KATIKA KUSIKILIZA MAHALA PA MKUTANO VIWANJA VYA CCM JIJINI MBEYA. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment