Tuesday, November 18, 2014

HABARI NA http://ilalasdachurch.blogspot.com/
Picnic hiyo ilifanyika tarehe 17/08/2014 maeneo ya Kawe ufukweni mwa Bahari ya Hindi. Siku hiyo vijana walijumuika kwa pamoja kufurahia na kujifunza ukuu wa Mungu kupitia vitu vya asili. Pia walifanya mazoezi na lengo hasa likiwa ni kudumisha afya za vijana kanisani...
 Kiongozi wa Vijana(AY) Anthony Mwainyekule akitoa somo fupi kuhusu vijana

Peter Joseph akiandika jina la Kanisa kwenye mchanga 
 Anthony Mwainyekule akiongoza vijana katika mazoezi ya viungo
Peter Joseph na Rose Joseph wakibuni taswira ya msalaba
..msalaba umekamilika sasa..
 Baadhi ya vijana wakifurahia ukuu wa Mungu kupitia mchanga wa bahari 
Wasaa wa chakula cha mchana..
Safari ya kurudi ikaanza



****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA