![]() |
| Nikijana wa Adventure Club kutoka Tabata Chang'ombe pamoja nakijana wa Pathfinder kutoka Tabata Kimanga wakati wakipandisha Bendera siku ya jumamosi ya tarehe 15 |
![]() |
| Zoezi la kupandisha bendera la vyama hivyo viwili liki kamilika huku wanachama wakiimba nyimbo za vyama hivyo |
![]() |
| Bwana Mwakalonge kutoka Kibaha ndie aliekua mgeni rasmi katika siku hiyo ya vijana wadogo |
![]() |
| Mgeni rasmi akiongea kidogo na vijana wa Pathfainder na Adventure Clubs |
![]() |
| Vijana kutoka mtaa wa Tabata wakiwa katika maandalizi ya kufanya program |
![]() |
| Vijana wa Pathfainder na Adventure wakiwa katika usikivu wakati wa program zikiwa zinaendeshwa kanisani mlimani |
![]() |
![]() |
| Vijana hao wawili wliweza hitimisha siku hiyo ya Vijana kwa kushusha bendera ya vyama hivyo |












0 comments:
Post a Comment