| MGENI RASMI ALIPOKUA AKIZINDUA DVD HIYO YA KIKUNDI CHA YUHAI KILICHOPO PUGU SDA |
| HAWA NI WASHIRIKI PAMOJA NA WAGENI WAALIKWA WALIOKUWEPO JANA KATIKA TAMASHA LA UZINDUZI WA DVD YA YUHAI |
| ACACIA SINGERS NAO WALIKUWEPO KATIKA TAMASHA SIKU YA JANA |
| HAWA NI WAIMABAJI WA VOV(VOICE OF VICTORY) WALIKUWEPO KATIKA TAMASHA HILO SIKU YA JANA. |
| WAIMBAJI WA KIKUNDI CHA YUHAI WAKIIMBA WIMBO ULIOBEBA ALBAMU YAO |
| VIJANA WADOGO WA KANISA LA PUGU WAKISHUHUDIA TUKIO HILO LA UZINDUZI WA DVD YA YUHAI HAPO JANA |
![]() |
| WANAFUNZI WA TUCASA KAMPALA WAKIIMBA KATIKA TAMASHA HILO SIKU YA JANA PUGU SDA |
![]() |
| KWAYA YA VIJANA YOMBO WAKIJIANDAA KUIMBA KATIKA TAMASHA HILO LA UZINDUZI |
![]() |
| KIKUNDI KUTOKA MINAKI KIKI IMBA KATIKA TAMASHA HILO |
![]() |
| HAWA NI WAIMBAJI WA KIKUNDI CHA ACACIA TOKA MWENGE WAKIIMBA KATIKA TAMASHA HILO. |
![]() |
| TUCASA MUHIMBILI WAKIIMBA WIMBO WA "TUUMSIFU BWANA" KATIKA TAMASHA HAPO JANA |
![]() |
| VOV WAKIIMBA KATIKA TAMASHA LA UZINDUZI WA DVD YA YUHAI HAPO JANA |
![]() |
| VIJANA TOKA UKONGA WALIIMBA PIA KATIKA TAMASHA HILO LA UZINDUZI |
![]() |
| HAWA NI BAADHI YA WASHIRIKI NA WAIMBAJI WAKINGALIA UIMBAJI KATIKA TAMASHA HILO S HAPO JANA |












0 comments:
Post a Comment