MIKUTANO YA TUMAINI KWA MIJI MIKUU ILIYO ANZA TAREHE 12/10/2014
YAISHA TAREHE 01/11/2014 MJINI IRINGA KWA JUMLA YA MAELFU YA WATU
KUMPOKEA YESU NA WATU 159 KUAMUAKUBATIZWA.
WAKATI HUO HUO NIMEPOKEA TAARIFA ZA MIKUTANO KAMA HII ILIYO KUWA IKIENDELEA MUDA NA WAKATI KAMA HUU HUKO MJINI SONGE NA MJINI NJOMBE KUWA IMEFUNGWA KWA JUMLA YA MAELFU YA WATU KUMPOKEA YESU NA KWAMKOA WA NJOMBE WATU 78 WAMEBATIZWA WAKATI HUKO SONGEA WATU 54 WAMEBATIZWA.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

MKOA WA IRINGA ULIKUWA UKISIMAMIWA NA PR. HARUNI N.E KIKIWA, COMMUNICATION DIRECTOR AND HEALTH MINISTRIES DIRECTOR-SHC
MKOA WA NJOMBE ULIKUWA UNASIMAMIWA NA PR. EZEKIA CHABOMA, PUBLISHING DIRECTOR-SHC
MKOA WA NJOMBE ULIKUWA UNASIMAMIWA NA PR. EZEKIA CHABOMA, PUBLISHING DIRECTOR-SHC
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment