Friday, November 28, 2014

Kwaya hii ya kanisa la waadventista wasabato Ilala imepata kuhudumu katika siku maalum ya kuweka wakfu kanisa la waadventista wasabato Kimara terehe 23/11/2014 katika viwanja vya kanisa hilo.
Kwaya hii imepata kutoa huduma ya uimbaji kama kwaya aliyoalikwa siku hii na kuimba nyimbo kama;-"Mungu wetu twamshukuru sana" huu ukiwa ni wimbo maalum,hivi nilivyo mimi,Yesu aliniita njoo na mwisho kwaya hii ikapata kuimba wimbo wa pamoja na kwaya ya Kimara ambao unaitwa "Naweka hazina yangu Mbinguni"

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA