Hapo kesho kutakuwa na makutano kwa wanachuo waadventista wasabato katika kanda ya Dar Es Salaam,ambapo pamoja na mambo mengine kutatolewa maelezo juu ya safari ya mkutano wa vijana ambao utafanyika katika chuo kikuu cha Baraton nchini Kenya kuanzia tarehe 22 hadi 27 Disemba mwaka 2014.Na kikao hiki kitasaidia kujua wanachama kujua taratibu za program zitakazofanyika huko,namna ya kusafiri na tasmini ya sasa juu ya zoezi zima la ulipaji wa kiingilio cha mkutano huu uitwao Retreat.
MAHALI:MAGOMENI SDA DAR ES SALAAMMUDA:SAA 9 ALASIRI
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment