Picha za awali toka katika tukio la kihistoria kwa kuwekwa wakfu kwa kanisa la waadventista wasabato Kimara hapa jijini Dar Es Salaam.....
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
| Mchungaji Steven Letta akivslishwa skafu mara baada ya kuwasili katika viwanja vya kanisa la waadventista wasabato Kimara leo mchana katika huduma maalum ya kuwekwa wakfu kwa kanisa la Kimara.. |
| Vijana wa kainsa la waadventista wasabato Kimara wakianza tukio hili la kuwekwa wakfu kwa gwaride kubwa |
| Mchungaji Bhutoke ndiye alikuwa mgeni rasmi badala la Mchungaji Malekana,hapa akisaini kitabu cha wageni na kuanza zoezi hili rasmi.. |
| Mchungaji Bhutoke akijiandaa kukata utepe kama ishara ya kuwa tukio hili la uwekwaji wakfu sasa limekamilika |
| Na sasa kazi ya kukata utepe tayari na washiriki wanapewa ruksa ya kuingia na kutumia kanisa hili na hapa Mchungaji Bhutoke akiongea machache huku wachungaji alioambatanao wakiwa pembeni yake.. |
| Na sasa kazi ya kukata utepe tayari na washiriki wanapewa ruksa ya kuingia na kutumia kanisa hili na hapa Mchungaji Bhutoke akiongea machache huku wachungaji alioambatanao wakiwa pembeni yake.. |
| Kwaya ya kanisa la Suka wakiimba nje ya kanisa kabla ya huduma ya kuwekwa wakfu.. |
| Taswira ya kanisa la waadventista wasabato Kimara linavyoonekana siku ya leo |
| Hiki ndicho kisima cha kisasa kabisa kwa ajili ya tukio maalum la ubatizo.. |
| Hiki ndicho kisima cha kisasa kabisa kwa ajili ya tukio maalum la ubatizo.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment