Saturday, December 27, 2014

 Injilileo Blog na InjilileoTV tunakupa pongezi na kila heri katika maisha yako hasa kwenye utendaji kazi wako.
Wewe bado ni kijana bila shaka unahitaji maisha mazuri ili pia familia yako iwe bora tena iliyoimarika,hivyo basi kuwa makini na chochote mkono wako ukifanyacho na pia kuwa jasiri kukabiriana na changamoto zote zinazokuja mbele yako,songa mbele kurudi nyuma kwako mwiko
Mwombe Mungu na mtegemee yeye pekee
BOFYA HAPA KUONA PICHA WAFANYAKAZI WENZAKE WAKIFURAHI PAMOJA NAE==>











****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0789 243 413 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA