Ni mkutano uliokuwa na mambo lukuki huku ukijikita katika mafundisho yaliyo na uharisia kwani katika sehemu nzuri na ya kuvuti kwenye mkutano huu ni somo la uumbaji,vijana walipata fursa ya kuona kwa kushuhudia kwa macho viumbe hai na maajabu juu ya uumbaji wa Mungu.
Zifuatazo ni baadhi ya picha zilizotufikia injilileo Blog toka Baraton nchini Kenya zikionesha wanyama katika hifadhi ya wanyama iitwayo"Snake Park"
PICHA ZINGINE TAZAMA HAPO CHINI===>
Zifuatazo ni baadhi ya picha zilizotufikia injilileo Blog toka Baraton nchini Kenya zikionesha wanyama katika hifadhi ya wanyama iitwayo"Snake Park"
PICHA ZINGINE TAZAMA HAPO CHINI===>

0 comments:
Post a Comment