Tuesday, December 16, 2014

 Siku ya uzinduzi haikuwa kwa ajili ya kuimba pekee kwani hata huduma ya afya ambayo ilihusisha uchunguzi na upimaji wa magonjwa mbalimbali  yakiwemo malaria,presha,meno,ukimwi na saratani..
Huduma hii ilifanywa na wanafunzi wa fani ya udaktari toka vyuo ya Muhimbili na Kairuki ambao pia walihudumu kwa njia ya wimbo..












****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA