Tuesday, December 16, 2014

 Picnic maana yake ni kutoka nje ya makazi mtu aliyoyazoe na kwenda mahali pengine kwa kubadilisha mazingira au kwa dhumuni la kujifunza.
Vijana wa kanisa la waadventista wasabato Kimara wakiongozwa na viongozi wao wamefanikiwa kwenda mji wa Bagamoyo uli maarufu kwa kumbukumbu za watu wa kale na mabaki ya vitu vya zamani vilivyotumiwa na watu hao..
Baada ya maelezo toka kwa mhadhili na muelekezi wa kituo cha Kaole ambapo vijana wa Kimara sda walifanyia picnic hii,walikusanyika kwa somo fupi na michezo mbalimbali kama;-kuogelea,mpira wa miguu na kukimbia na ndimu kwenye kijiko na mingine mingi.







































****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA