HABARI NA MCHUNGAJI DAVID MBAGA @FACEBOOK
"Leo asubuhi hii washiriki na wageni toka Ruvu Kitonga wamepata ajali asubuhi hii eneo karibia na daraja la Ruvu wakielekea vigwaza kwenye sabato ya wageni ambayo ninakwenda kuhutubu huko. Majeruhi ni wengi. Tuwaombee."DAVID MBAGA
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment