Wimbo wa 7 kutoka kwenye album ya NEW DAY ya ANGEL BENARD unaitwa Number 1.
"Katika number one, Ninazungumzia tabia za Mungu zinazomfanya yeye kuwa namba moja kwangu na hivyo ninakuwa nasimulia habari zake." - Angel Benard
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment