Dar Es Salaam,
Yamesemwa hayo katika ibada ya siku ya Sabato iliyoandaliwa na kwaya ya Ilala na katika ibada ya hii ikianzia kwenye kipindi cha Shule ya Sabato.Wanakwaya hawa walihudumu kusoma mafungu ya maandiko matakatifu,taarifa ya nchi za mbali ambako utume wa matumaini huwafikia watu kwa nchi hizo na bila kusahau taarifa ya shule sabato.
====== ====== ===============
Kwa ibada ya mchana,kwaya hii iliweza kujipanga na kutoa progamu mba;imbali kubwa ikiwa ni pamoja na kutoa shukrani za washiriki wa kanisa kwa ushirikiano wao wa hali na mali katika huduma ya uimbaji kwa muda wote tangu mwaka huu kuanza,shukrani hizi zikipelekwa pia kwa uongozi wa kanisa kwa mawazo na ushauri pia yote kufanya kazi ya Bwana kupitia huduma ya uimbaji kupata kwenda kwa kasi.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

| Hawa ni wanakwaya wa kanisa la Ilala wakifatilia program walioiandaa. |
| Mwimbaji wa kwaya ya kanisa la Ilala Ruth Chaulo akitoa somo la utume katika ibada ya shukrani katika kipindi cha shule Sabato. CLICK "BOFYA HAPA" KUPATA PICHA ZAIDI |
| Mwimbaji wa kwaya ya kanisa la Ilala Ruth Chaulo akitoa somo la utume katika ibada ya shukrani katika kipindi cha shule Sabato. |
| Ndipo ukafika wasaa wa kuhudumu kwa njia ya wimbo |
| Mwalimu wa kwaya ya Ilala sda,Mr.Daniel Sempambo akiimbisha katika moja ya nyimbo za kwaya ya Kanisa. |
| Ndipo ukafika wasaa wa kuhudumu kwa njia ya wimbo |
| Mzee Marwa ni mwenyekiti wa kwaya ya Ilala sda,hapa akisema machacche kuwashukuru washiriki wa kanisa la Ilala kwa mchango wao wa hali na mali na yote waliokusudia kuyafanya kwa mwaka ujao. |
| Mwonekano wa wanakwaya wa Ilala sda wakianza program za mchana. |
| Mwonekano wa wanakwaya wa Ilala sda wakianza program za mchana na kushoto ni msoma taarifa ya kwaya Bi.Neema Mtochi . |
| Mr.Emmanuel Marwa,mmoja wa waimbaji wa kwaya ya Ilala sda akisema jambo. |
| Mr.Yared Omolo akizungumza jambo juu ya CD ya kwaya hiyo huku ameshika mkononi moja ya sampuli ambayo kwa badaye iliwekwa wakfu na kupata kuuzwa rasmi baada ya ibada. |
| Mr.Misheto mmoja wa waimbaji wa kwaya na mwenyekiti msaidizi hii akisema jambo na baadae kukaribisha maoni na ushauri toka kwa washiriki. |
| Mr.Kent Chimwejo mmoja wa washiriki wa kanisa la Ilala akisema jambo juu ya kwaya huku akisifu hatua iliyofikia na kwaya hii. |
| Mmoja wa wazee wa kanisa la Ilala,Msafiri John akisema jambo mara baada ya kupewa nafasi na alitoa wito kwa waimbaji hao wapate kumwimbia Bwana kwa roho na kweli. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment