Thursday, December 25, 2014

Wahindu ni dhehebu la imani ya kipekee na kushangaza japo miaka ya hivi karibuni ajabu hizi zimefifia kwani watu wameelimika na utandawazi umepanuka sana hivyo ni kawaida kuona dhehebu kama hili ambalo huamini mtu akifa anazaliwa tena hivyo hurudi katika mfumo mpya wa maisha na kuweza kuishi..
                                                                =============
Mwinjilisti Lumbe alipata wasaa wa kuzungumza na viongozi hawa juu ya mwokozi Yesu Kristo na habari ya uumbaji na mafundisho juu ya kufa na kufufuka waumini hao walifurahi na kumkaribisha tena Mwinjilisti ili kuja kujifunza nae juu ya Yesu.
Mwinjilisti Maotola Lumbe wa kwanza toka kulia,akiwa na baadhi ya wageni wengine na wemgine ni waumini wa dhehebu la Hindu mkoani Arusha.

 
Hapa ndipo ibada hufanyika,sehemu ya hekalu hili huwekwa miungu yao ambayo ni midori
Hapa ndipo ibada hufanyika,sehemu ya hekalu hili huwekwa miungu yao ambayo ni midori
Hapa ndipo ibada hufanyika,sehemu ya hekalu hili huwekwa miungu yao ambayo ni midori
Mwinjilisti Lumbe akiwa na ngoma ambazo pia hutumika katika baadhi ibada za waumini ya wahindu.

                                                             HABARI/PICHA NA MWINJILISTI LUMBE










****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA