Tuesday, December 09, 2014

AMR(Adventist Muslim Relation) ni idara iliyochini ya Kanisa la waadventista wasabato ikihusika na mahusiano yaliyo baina ya wakristo wa waadventista wasabato na jamii ya waislam..
Moja kati ya mahusiano haya ni kujengana kwa hoja za amani tena madhubuti kwa kuchambua vitabu vitakatifu vya Biblia na Quran kwa njia ya maelezo ya uchunguzi baina ya vitabu hivyo na maswali tatizi.
Leo tunaenda kuangazia ziara ilikuwa imefanywa na timu ya wajumbe toka AMR kwenda katika mwaliko maalum wa jumuiya ya kiislam ya Ahmadiyya na vitabu vya Tumaini kuu kugawiwa kwa baadhi ya mashekhe..





Mkuu wa kitengo cha AMR Mchungaji Dominic Mapima akitoa hotuba mbele ya jumuiya hiyo maeneo ya Bungu-Mvuti 








****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA