![]() |
| Washiriki wa kanisa na wageni wakishuhudia waalijitoa na kukubali kumpokea Bwana Yesu katika mahubiri yaliyoendehswa ndani ya viwanja vya chuo cha Dar Es Salaam kampas ya Mabibo-Hostel |

| Muda wa pekee kwa ajili ya ombi ukafika |
![]() |
| Mchungaji wa mtaa wa Ubungo, Harry Kuyenga akihudumu kwa kuwabatiza vijana na wanafunzi toka chuo cha Dar Es Salaam katika mahubiri ya kuzijua siri za unabii yaliyoendeshwa chini ya STUM-TUCASA |
![]() |
| Mchungaji wa mtaa wa Ubungo, Harry Kuyenga akihudumu kwa kuwabatiza vijana na wanafunzi toka chuo cha Dar Es Salaam katika mahubiri ya kuzijua siri za unabii yaliyoendeshwa chini ya STUM-TUCAS |
![]() |
| Picha ya pamoja ni wabatizwa,mwinjilisti Dr.Mwandambo akiyekuwa mmoja wa wanatimu hawa,mwinjilisti Machota na baadhi ya viongozi wa Tucasa.. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment