Semina hizi zimefanyika katika chuo cha Bugema-Uganda kinachomilikiwa na Kanisa la waadventista wasabato zikiendeshwa na Anthony Kent na mkewe Debora Kent toka General Conference na semina hizi zikiwa mahususi kwa ajili ya mkutano kubwa hapo mwakani utakaofanyika katika uwanja wa Taifa Dar Es Salaam na mgeni rasmi akiwa ni raisi wa Kanisa la waadventista wasabato Duniani Ted Wilson toka General Conference...
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
![]() |
| Hawa ndio Mr.Anthony Kent na mke wake Debora Kent walikuwa wakufunzi na watoa semina katika maandalizi ya mkutano wa Extra Vaganza. |
![]() |
| Wake za wachungaji wastaafu toka nchi za Mashariki na kati mwa Afrika wakiwa kenye picha ya pamoja. |
![]() |
| Wajumbe toka Unioni ya kusini mwa Tanzania wakifatilia semina hizi.. |
![]() |
| Wajumbe toka DRC-CONGO wakindani ya ukumbi katika chuo cha Bugema wakifatilia semina hizi. |
![]() |
| Wajumbe toka Unioni ya kaskzini mwa Tanzania nao wakiwa makini kufatilia semina hizi.. |
![]() |
| Wajumbe na wawakilishi toka Burundi |
![]() |
| Wajumbe toka union ya Kusini mwa Tanzania wakiwa katika vazi maalum la kitenge hapa ni siku ya jumapili disemba 7 katika chuo cha Bugema. |
![]() |
| Wajumbe toka Rwanda |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***












0 comments:
Post a Comment