Tuesday, December 02, 2014

Watu wanaoshukiwa kuwa wapiganaji wa kundi la Alshabaab nchini Kenya wamewaua takriban watu 28 katika shambulizi la basi moja karibu na mpaka na Somali.
Waumini 8 wa kanisa la Waadventista Wasabato walikuwa miongoni mwa abiria 28 waliouawa kinyama na wanamgambo Mandera nchini Kenya Novemba 22.
===========
Polisi na watu wa usalama wakiwa wamezunguka miili za waliouawa na waliozaniwa kuwa watakuwa ni kundi la Kisomali la Alshabaab kwa kugundua kuwa hawakuwa waislamu..picha na  AFP/Getty
Kulingana na CNS news.com, wanachama wa kiSomali toka kundi la wanamgambo  waliwasimamisha watu ambao walikuwa kwenye gari katika mji wa Nairobi wakifunga njia huku wakihoji abiria  kama wao walikuwa Waislamu. Mashuhuda alisema wale ambao walijibu majibu yasiyoridhisha walichukuliwa kando na hatimaye kupigwa risasi.

Habari na http://news.adventist.org/


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA