| Mchungaji Geoffrey Mbwana akihubiri hapo jana mara baada ya kufungua rasmi mahubiri hayo ambayo yamenza 24/1/2015 hadi 14/2/2015 somo kuu likiwa "THAWAABU YA UADILIFU". |
Katika kipindi cha kuelekea mwisho wa miaka 5 ya uamsho na matengenezo,waumini wa kanisa la waadventista wasabato wamekusudia kupeperusha bendera ya injili mahali kwa kuhubiri marejeo ya Yesu kurudi mara ya pili.Jana katika kanisa la waadventista wasabato Ushindi,mahubiri yameanza rasmi kwa somo kuu likiwa "Thawabu ya Uadilifu"
Mchungaji Mbwana amesisitiza suala la uadilifu kuwa ndicho kitu pekee chenye kupewa kipaumbele mbali na fedha,mali hata umaarufu.Japo kumekuwepo kubezwa kwa Mungu juu ya mambo fulani lakini hilo pia huzihirisha wazi kuwa neno uadilifu halipo maisha yetu.
Barikiwa kwa kusikiliza mahubiri hayo (sehemu ya pili) yaliyorekodiwa hapo jana na injilileo blog.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment