Na mwandishi wetu
Mwimbaji wa mda mrefu Miriam Chirwa amewataka waimbaji kutokata tamaa katika huduma ya uimbaji kwani Bwana yupo pamoja nao waamini atawasaidia.Amesema waimbaji hawapoteza mwelekeo katika uimbaji na ameshauri waimbaji waimbe kwa kuchangamka katika mikutano hii ya sherehe za utume ulimwengu yaani Extravaganza.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment