Sunday, January 25, 2015

Mchungaji Geoffrey Mbwana akiongea na Mchungaji Kibasisi juu ya upigaji wa yowe katika jamii ya kimasai,Mchungaji Kibasisi alisema yowe ikipigwa vijana hawatakiwi kubaki nyuma na kujificha ni lazima  kukimbia haraka kwa wakati ili kujua kuna  hatari gani.

Kulia ni Mama Mwakalinga akieleza namna yowe inavyopigwa katika maeneo ya uchagani nae alisisitiza kuwa yowe ikipigwa wanaume walitakiwa kutoka nje na wakibaki hupewa adhabu,kushoto ni Mchungaji Mbwana akimuliza maswali juu ya yowe.

 ****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA