Sunday, January 25, 2015

Kwaya ya waadventista wasabato Kinondani wakiimba katika mahubiri yaliyoanza hapo jana katika kanisa hilo yakiletwa na Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye ni makamu wa Rais wa Kanisa la waadventista wasabato dunia.
Kwaya ya waadventista wasabato Ushindi wakiimba katika mahubiri yaliyoanza hapo jana katika kanisa hilo yakiletwa na Mchungaji Geoffrey Mbwana ambaye ni makamu wa Rais wa Kanisa la waadventista wasabato dunia.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA