Friday, January 02, 2015

Na Mwandishi wetu
Mwimbaji wa nyimbo za injili na mwanafunzi toka chuo cha DIT Lydia Nyamagutu Makubi jumapili iliyopita ameweza zindua album Audio-Cd yake namba mbili yenye jina "MSIFUNI BWANA MWOKOZI" katika ukumbi wa chuo cha Muhas.
Katika risala yake,Nymagutu ameweza kutaja malengo ambayo anatarajia kwa mwaka huu yapate timia.

  1. Recording ya DVD ambayo itakuwa ni live.
  2. Lengo la pili ni kuzalisha DVD hizo ambazo jumla yake ni 2000 na kwa kila DVD moja hugharimu kiasi cha Ths 2000 kufanya jumla ya sh milioni 4 na katika DVD hizi,Nyamagutu amepanga kugawa DVD 1000 bure kwenye Mahospitali,sehemu walipo watoto yatima na maeneo ya vituo vya daladala.
    Lyadia Nyamagutu Makubi mwimbaji wa nyimbo za injili toka chuo cha DIT.
Kulia ni Daniel Champanda mwimbaji wa nyimbo za injili akiwa na Nyamagutu Makubi wakiimba wimbo uliobeba jina la album "MSIFUNI BWANA MWOKOZI" kwenye album mpya ya audio ya mwimbaji Nyamagutu.


****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0789 243 413 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA