Pr. Rabson Nkoko achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa SHC
Uchaguzi huu umefanyika hii jana mara baada ya kamati kuu kukaa. Mchungaji huyu ambaye alikuwa mkurugenzi wa Uwakili na Mawasiliano wa Union ya Kusini mwa Tanzania(STU) amechaguliwa kuchukua nafasi iliyo achwa na Pr. Joseph Mngwabi ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Konferesi mpya ya ECT nyenye makao makuu huko mjini morogoro.
Hebu tuwaombee katika kuchukua majukumu haya makubwa.

By: Pr. Haruni Kikiwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Afya-SHC
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Afya-SHC

0 comments:
Post a Comment