Saturday, January 03, 2015

Mhina Kisaka akiwa katika hali ya Utulivu




Kijana huyu ambaye ni Muandishi na mfanyakazi wa Injili LeoBlog anae julikana kwa jina la Mhina Kisaka jana aliweza kusheherekea siku yake ya kuzaliwa nakusema kua "Anamshukuru Mungu kwa Kumuweka Hai mpaka sasa kwani niwengi walitamani kuwepo hai mpaka sasa lakini wame lala mauti hivyo anamshukuru Mungu sana"
  Japokua Mfanyakazi huyo na Mwimbaji wa Voices of Victory(V.O.V) hakutaka kutaja umri wake amesema ataendelea kumtumkia Mungu Mpaka pale Yesu atakaporudi.
                               
                                 

Pamoja na hayo Kijana huyu hakusita kutoa Nasaha Fupi Ktika familia yake aliweza kutoa neno fupi ambalo lilitoka katika kitabu cha Isaya 49:15 Na kushukuru familia yake kwa kumpatia Malezi bora Ambayo mpaka sasa anayafurahia, hivyo aliwaomba upendo walio uonyesha kwake wandelee nao huo huo.
 

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA