Saturday, January 31, 2015

 Hatimaye Morning Star Televisheni-MSTV ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato imekabidhiwa leseni ya kurusha matangazo leo Januari 30,2015.Hafla fupi ya makabidhiano ya leseni ilifanyika Makau makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania - TCRA ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Prof John Nkoma alimkabidhi Mwenyikiti wa Konfensi ya Nyanda za juu mbele ya Mkurugenzi wa MSTV. Mungu awabariki wote.

Kulia ni Mkurugenzi wa Morning Star Television Eng.Mazara Edward Matucha akisema jambo na Mkurugenzi wa TCRA Pr.John Nkoma katika halfa ya makabidhiano ya leseni ya urushaji matangazo hapo jana.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA