Saturday, January 31, 2015

Wanaitwa The Gabriel's Horn waimbaji hawa wanatokea kanisa la Vingunguti jijini Dsm,walipata kuhudumu siku ya alhamisi katika kanisa la Ushindi sda kwenye mahubiri ya somo"Thawabu ya Uadilifu" kwa siku hiyo somo lilikuwa "Ramani ya Uadilifu iliyothibitishwa"
Wanaitwa Vega-Capella waimbaji hawa wanatokea kanisa la Mzizima sda na wanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha(IFM) jijini Dsm,walipata kuhudumu siku ya alhamisi katika kanisa la Ushindi sda kwenye mahubiri ya somo"Thawabu ya Uadilifu" kwa siku hiyo somo lilikuwa "Ramani ya Uadilifu iliyothibitishwa"

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA