| Kwaya ya Magomeni sda waliimba katika siku ya ibada ya kuukaribisha mwaka mpya,walipata kuimba nyimbo kama;-"Nina tabu" na "Fungueni moyo" |

| Mwalimu wa kwaya ya Kurasini,Samson Kibaso aliongoza uimbaji katika kwaya iliyojulikana imetokea kanda maalum,Harvesters. |
| Waimbaji wa Harvesters chini ya mwalimu Samson Kibaso waliimba wimbo wa lugha cha Kijaluo ukiwa na maana ya kumpa sifa Mungu. |

| Waimbaji kwaya ya Magomeni sda Female waliimba usemao "Si mimi Kristo" |

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0789 243 413 NA 0717 367 693***

0 comments:
Post a Comment