Friday, January 23, 2015

Mkutano wa matumaini kwa watu wote unaotarajia kuanza kesho tarehe 24 January hadi 14 February 2015 kanisa kanisa la Waadventista Wasabato Ushindi na muhubiri akiwa ni Mchungaji Geofrey Mbwana na leo waimbaji toka vikundi vya ndani ya Dar na nje ya wamefika katika kanisa la Ushindi kufanya mazoezi ya namna na jinsi watakavyo hudumu katika mkutano huu ulio na neno la mkutano ukiwa ni "THAWABU YA UADILIFU"
Waimbaji wa vikundi kama;-The voice,The Family Music,Holy Reunion ,Samwel Mhazini,Nyamagutu Makubi,Namsifu Mbuso,VOV,Angel Magoti na wengine wengi







****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA