Saturday, February 07, 2015

 Katika kuhitimisha mikutano utume duniani kwa jiji la Dar Es Salaam,kumekuwa na mkubwa nauliofnyika katika ufukwe wa bahari maeneo ya koko Beach jijini Dar Es Salaam na huduma hii kufanywa na wachungaji toka maeneo mbalimbali ya nchi zilizofika katika mkutano huu zipatazo 11.
Washiriki toka makanisa mbalimbali toka nchi hizo wamemkiri Bwana kwa kubatizwa hivi leo mapema asubuhi na wakihojiwa na waandishi toka Morning star Tv,wabatizwa hao wamesema kuwa tukio hilo ni la kipekee na linawaleta karibu kwa ukombozi.
Wachungaji(waliovaliwa mavazi meupe) wakiwa katika maandalizi ya huduma ya ubatizo mapema leo
Wachungaji(waliovaliwa mavazi meupe) wakiwa katika maandalizi ya huduma ya ubatizo mapema leo
Washiriki wakiwasili katika eneo la Coco Beach jijini Dar Es Salaam mapema leo asubuhi
Baadhi ya watu wakishuhudia tukio hilo
Msafara wa kuelekea baharini kwa huduma ya ubatizo
Waliojitoa kwa ubatizo wakiwa tayari mapema leo kushiriki katika huduma hiyo
Wabatizwa wakitoka ndani ya maji mara baada ya ubatizo mapema leo
Wabatizwa wakitoka ndani ya maji mara baada ya ubatizo mapema leo

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA