Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma na Mwenyekiti wa Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma
Mhe. Chiku Gallawa akifugua Mkutano wa bodi hiyo Feb. 17,2015 Mjini
Dodoma.
Wajumbe
wa Bodi ya barabara ya Mkoa wa Dodoma wakimsikiliza mwenyekiti wa Bodi
Mhe. Chiku Gallawa wakati akifungua Mkutano wa kwanza wa Bodi hiyo kwa
mwaka 2015 mjini Dodoma Feb. 17.
Meneja
wa Wakala wa Barabara-TANROADS Mkoa wa Dodoma mhandisi Leonard Chimagu
akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi ya barabara inayotekelezwa
na TANROADS kwenye Mkoa wa Dodoma wakati wa kikao cha Bodi ya Barabara
Mkoani humo Feb 17, 2015.
Wajumbe
wa Sekretarieti ya Bodi ya Barabara ya Mkoa wa Dodoma wakichukua
kumbukumbu muhimu kutoka michango ya wajumbe wakati wa Kikao cha Bodi ya
barabara ya Dodoma Feb. 17, 2015.
Mwenyekiti
wa Halashauri ya Wilaya ya Kongwa Mhe. White Zuberi akichangia hoja
wakati wa Kikao cha Bodi ya Barabara Moka wa Dodoma Feb.17, 2015.
Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Dodoma SACP David Misime aki akichangia hoja wakati
wa Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Dodoma Feb.17, 2015.
Naibu
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Kondoa Kusini
Mhe. Juma Nkamia akichangia hoja wakati wa Kikao cha Bodi ya Barabara
Mkoa wa Dodoma Feb.17, 2015.
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***



0 comments:
Post a Comment