Wednesday, February 18, 2015

Waumini wa Kanisa la waadventista wasabato na marafiki wa familia toka kila kona ya jijini la Dar Es Salaam na mikoa ya jirani leo walijitokeza katika tukio la kuuona mwili wa mpendwa wao kwa mara ya mwisho na huduma ya mazishi ilifanywa na Mchungaji Magulilo Mwakalonge mwenyekiti wa Union ya Kusini mwa Tanzania.




Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA