Baada ya ibada ya kuuona mwili wa marehemu kwa mara mwisho katika kanisa la Temeke jijini Dar Es Salaam hapa ni msafara wa magari ya wanandugu na jamaa kuelekea Visiga-Kibaha na baadaye Morogoro kwa maziko hapo kesho Alhamisi.
![]() |
| Jeneza likiingizwa ndani ya basi tayari kwa safari ya Visiga Kibaha na kisha Morogoro. |






0 comments:
Post a Comment