![]() |
| Mchungaji Domick Mapima akiongaza utaratibu wa siku ya leo katika kanisa la Temeke sda na baadaye alimkaribisha msoma wasifu wa marehemu.. |
![]() |
| Waliovaa majoho ni kwaya ya Ubungo Hill wakiimba kwenye ibada ya kuuona mwili wa marehemu Nicanor Kikiwa kwa mara ya mwisho na kulia ni mchungaji Mapima akisema jambo. |
![]() |
| Wapendwa wakiaga mwili mapema leo |
![]() |
| Wapendwa wakiaga mwili mapema leo |







0 comments:
Post a Comment