Tuesday, February 17, 2015

Huduma ya kuaga mwili wa Mch.Nikanor Kikiwa aliye fikwa na mauti Leo(tarehe 17/02/2015) saa 4:25 asubuhi katika hospitari ya Dar group iliyopo daresalaam. Ratiba zitakuwa kama ifuatavyo:-
1. Msiba Leo(17/02/201 upo Temeke SDA
2. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa Dar itafanyika kesho(18/02/2015) saa 4:00 kamili asubuhi Temeke SDA Church-Itaendeshwa na Mwenyekiti wa Union ya kusini mwa Tanzania Mchungaji Magulilo Mwakalonge.

3. Baada ya huduma kuisha Temeke safari itaanza kuelekea Morogoro nyumbani kwa marehemu.
4. Huduma ya kuona mwili pamoja na ibada kwa watu wa morogoro itafanyika kesho kutwa (19/02/2015) saa 3:00 kamili asubuhi Misufini SDA Church-Itaendeshwa na Mwenyekiti wa Kenference ya mashariki na kati ya tanzania(ECT)Mchungaji Joseph Mngwabi.

Taarifa Hii imetolewa na Msemaji wa Familia. Mch. Haruni Kikiwa(Kaka wa Marehemu)-Mkurugenzi wa Mawasiliano na Afya-SHC
Mchungaji Nicanor Kikiwa akiwa na mke wake enzi za uhai wake..
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA