Saturday, February 07, 2015

Kushoto na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam Mh.Merck Sadick na kulia ni Askofu wa kanisa la waadventista wasabato Duniani Dr.Mchungaji Ted Wilson wakielekea mahali msafara wa Makamu ulipokuwa unaingia ndani ya uwanja wa Taifa hapo jana.
Alipowasili Makamu wa Rais Mh.Dr.Gharib Bilal ndani wa uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam hapo jana na kupokelewa na  Askofu wa kanisa la waadventista wasabato dunia akiwa na mwenyeji wake Dr.Blasious Ruguri.

Msafara ukielekea mahali pa mapokezi mara baada ya kuwasili ndani ya uwanja wa Taifa
Hapa wakiingia ndani ya uwanja wa michezo ambapo ndiko shughuli zote hizi hufanyika

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA