Thursday, February 19, 2015



 Marehemu Nicanor alizaliwa mpwapwa
Ni mtoto wa nne
Alipata Elimu ya secondary kinondoni Muslim
Alisoma theolojia chuo cha Arusha
Alikuwa anafanya masters ya Human resource management
Alikuwa anakaribia kuhitimu lakn ugonjwa ulimkwamisha
Amefanya mahuburi mengi sana ikiwemo morning star
Roho 14000 ndiyo mavuno aliyompatia Bwana kwa mujibu wa takwimu alizotunza
Mkewe Victoria Mjema ameachwa mjane na mtoto wake pekee Charity Nicanor Kikiwa.

Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA