Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama
akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau wa Chanjo ya kuzuia
saratani ya mlango wa kizazi (HPV) katika ukumbi wa Uhuru Hostel |
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba ya mkuu wa mkoa Gama. |
Mwakilishi wa katibu mkuu wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Dkt Neema Rusibamayila akitoa hotuba yake wakati wa mkutano huo wa siku tatu unaofanyika mjini Moshi. |
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwemo Wakuu wa wilaya na Wakurugenzi wakifuatilia hotuba ya mwakilishi wa katibu mkuu wizara ya Afya,Dkt Rusibamayila. |
Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Rusaro Chatora akitoa hotuba yake wakati wa mkutano wa wadau wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa Kizazi (HPV). |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akiteta jambo na Dkt Neema Rusibamayila wakati wa mkutano huo. |
Meneja Mpango wa Chanjo taifa Dkt Dafrossa Lyimo akizungumza wakati wa mkutano huo. |
Baaadhi ya wawakishi wa Mashirika ya Maendeleo wakifuatilia mkutano huo. |
Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza katika mkutano huo;. |
Kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Quaker akifuatilia hotuba zilizotolewa wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. |
Mwakilishi mkai wa shirika la Afya Duniani Dkt Rufaro Chatora akiwa na Dkt Neema Rusibamayila wakifuatilia mada zilizokuwa zikiwasilishwa katika mkutano huo. |
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akifurahia jambo na Dkt Chatora. |
Washiriki wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi ,mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama. |
Kaimu mganga mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Dkt Endrew Quaker akizungumza na mwakilishi mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dkt Rufaro Chatora nje ya ukumbi wa mkutano. |
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii
Kanda ya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment