Thursday, February 12, 2015


Nyumba ya kulala wageni ya ECD iliyofunguliwa



 Kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake katika eneo hilo. Akiwa Juba Ted Wilson amezindua na kuweka wakfu majengo mawili moja likiwa ni Ofisini za Field na Union ya Ikweta na jengo la pili ni la nyumba ya kulala wageni ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Divisheni ya Afrika Mashariki na Kati(ECD).
habari/picha na Mtangazaji Blog
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
Categories:

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA