Thursday, February 12, 2015

BWANA alitoa na BWANA ametwaa. kila mwenye pumzi amhimidi Muumba wa uhai.
Mke wa Dr. Heri Muhando amefariki mchana huu kwa kansa ya matiti. Msiba uko nyumbani kwa mgane wake Mbezi Beach.
Kwa taarifa zaidi piga;

0715 315417
0754 315417
0784 315417
0776 315417

****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***

0 comments:

Post a Comment

SIKILIZA NA DOWNLOAD WIMBO "KIFO" TOKA KWA PADACK

MAHUBIRI YA USHINDI HATIMAYE 2017 HAYA HAPA