 |
| Wanatimu toka ECD na Morning star Tv wakiwa katika kuweka sawa mambo kwenye chumba maalum cha uzalishaji hapo jana jioni. |
 |
| Timu kazi toka injilileo Blog tumejipanga kukuhabarisha kwa matukio yote,ni haki yako kujua chochote kinachotufikia,fuatana nasi sasa. |
 |
| Hapa ndipo injilileo itakuwepo hapo kesho,kama unatamani kukutana nasi kwa jambo fulani karibu. |
 |
| Meneja wa injilileoTV baada ya kuwasili katika maeneo ya uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam hapo jana jioni. |
****TUMA PICHA NA VIDEO WhatsApp 0713 059 073 NA 0717 367 693***
0 comments:
Post a Comment